Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Bw. Alban Mark Kihulla (wa kwanza kutoka kulia) na viongozi wengine mbalimbali wakiomba dua walipomtembekea na kumfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani kwako Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, kufuatia kifo cha mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan kilichotokea Septemba 7, 2026