Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume, katika mkazi yake, Mbweni – Unguja Zanzibar.

MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR AMANI ABEID KARUME
