KATIBU Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu
Hassan Nyange akizungumza wakati wa Siku ya Mtoto wa Afrika
iliyofanyika kiwilaya Kata ya Pangani
Mashariki iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa Mpango kazi wa Taifa wa
kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (Mtakuwwa) wilayani
Pangani ambapo Halmashauri wa wilaya hiyo ilishirikiana na Shirika la
Uzikwasa

AFISA Maendeleoya Jamii wilaya ya Pangani Elias Msuya akizungumza wakati wa siku yaMtoto wa Afrika |
Mwanafunzi wa shule ya Msingi Funguni Aisha Allyakisoma risala |
Mkuu wa Polisiwilaya ya Pangani (OCD) Georgina Matagi akizungumza na vikundimbalimbali |
Sehemu yawananchi kutoka maeneo mbalimbali wakifuatilia matukio |
VITENDO vya ubakaji na Ulawiti ikiwemo wanafunzi kupewa ujauzito ni moja
ya vitendo vya kikatili ambavyo vimekuwa tishio kwa watoto wilayani
Pangani huku ikielezwa kwamba wanaofanyiwa vitendo hivyo wanaanzia
darasa la pili na kuendelea jambo ambalo ni hatari kwa ustawi wa
maendeleo yao

Hayo yalisemwa na Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani
Nyange wakati wa Siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika kiwilaya Kata ya
Pangani Mashariki iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa Mpango kazi wa
Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (Mtakuwwa)
wilayani Pangani ambapo Halmashauri wa wilaya hiyo ilishirikiana na
Shirika la Uzikwasa

Alisema hilo limekuwa ni tatizo kubwa sana wilayani humo huku akiitaka
jamii kubadilika na kuachana na vitendo vya namna hiyo kwani vimekuwa
vikikwamisha watoto kushindwa kufikia ndoto zao

“Hili ni tatizo kubwa sana OCD hapa wilayani Pangani lakini pia inaumiza
sana hivyo jamii lazima ibadilike na kuhakikisha wanawafuchua watu
wanaohusika na vitendo hivyo kwenye jamii lakini pia toeni ushirikiano
tuweze kumaliza matukio ya ukatili wa kijinsia kiu yangu ni kuona
matokeo kesi zinaendelea mahakamani yanakwisha na wahusika kuchukuliwa
hatua “Alisema

Hata hivyo aliwataka wazazi na walezi kutoa ushirikiano wa kwenda kutoa
ushahidi pindi yanapotokea matukio hayo msikubali kurubuniwa kwani
kufanya hivyo tunapelekea haki kushindwa kutendeka na wahusika
kuchukuliwa hatua

“Lakini kama mashauri mengi yatakuwa yanalalamikiwa na mashauri
kushindwa kupata muafaka hiii pia sio taswira nzuri kwetu hivyo watu
kwenye vyombo husika wananchi watajenga mashaka nao nao wabadilike
“Alisema

Naye kwa upande wake Mkuu wa Polisi wilaya ya Pangani (OCD) Georgina
Matagi aliwataka wanaume kuwaacha watoto wa kike wasome na kupata elimu
ambayo itakuwa ndio silaha kubwa kwenye maisha yao ya sasa na baadae.

Hata hivyo aliwataka watendaji wa Kata na Vijiji kuacha kumaliza kesi
zinazohusiana na masuala hayo kwenye maeneo yao badala yake wahakikishe
zinafikishwa mahakamani.

Naye kwa upande wake Mwanafunzi wa shule ya Msingi Funguni Aisha Ally
aliziomba mamlaka husika za kisheria kuhakikisha zinawachukulia hatua
kali za kisheria watu wanaojihusisha na vitendo vya ubakaji, ulawiti na
wanaowapa mimba wanafunzi kwani wanakatisa ndoto zao.

Huku wakieleza kwamba watafurahi siku moja itatokea wabakaji au
wanaowalawiti wakifungwa vifungo mbalimbali kwani hivi sasa kesi ni
nyingi lakini matokeo ya kesi ni madogo sana.

Siku hiyo ilikwenda sambamba na sambamba na kauli mbiu isemayo mtoto ni
msingi wa Taifa endelevu tutumze, tumlinde na tumuendeleze ambapo
alisema siku hizi kumekuwa na tabia ya watoto katika jamii kubakwa na
kulawitiwa na watu wazima ikiwemo wengine kuwaozesha tabia ni kiyume cha
sheria ya nchi.

Alisema tabia hizo zimekuwa kikwazo kikubwa cha watoto hao na wengi
kushindwa kuhitimu masomo yao na kupata mimba za utotoni na kupelekea
wimbi la utegemezi kwenye familia na Taifa kwa ujumla ikiwemo kuongezeka
magonjwa ya zinaa na kusababnisha kupungua nguvu kubwa ya Taifa.

“Sisi kama watoto tuna ndoto nyingi na serikali ndio kimbilio letu baada
ya wazazi na walezi na jamii kukatisha ndoto zetu ,jamii itambue
kumekuwa na wimbi kubwa la kubakwa na kulawitiwa watoto wa kiume wao na
watu wazima hivyo tunaimba jamii ikishiriki kikamilifu kutulinda
kututunza na kutuelendeleza kufikia malengo”Alisema