Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi wa Sera, Uhusiano na Ushirikiano na Serikali (PGRP), Divisheni ya Afrika na India kutoka Taasisi ya Gates Bi. Caty Fall Sow aliyeambatana na ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 02 Julai, 2026.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkurugenzi wa Sera, Uhusiano na Ushirikiano na Serikali (PGRP), Divisheni ya Afrika na India kutoka Taasisi ya Gates Bi. Caty Fall Sow aliyeambatana na ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 02 Julai, 2026.