Kila mtu katika familia yangu alijua kuna tatizo kubwa lakini hakuna aliyekuwa tayari kukubali. Kila siku ilianza na mabishano na ilimalizika kwa kelele. Baba na mama walikuwa wanagombana kwa sababu ndogo ndogo, watoto tulijikuta tukipigana wenyewe kwa sababu ya msongo.

Wageni walipoingia nyumbani waliona sura za hasira na kukaa kwetu pamoja mezani kuligeuka uwanja wa vita. Siku moja jirani alinieleza kuwa nyumbani kwetu kelele za matusi na ugomvi zilisikika hadi kwao. Nilijisikia aibu sana. Nilijua hali ile haikuwa ya kawaida.

Nilipojaribu kuzungumza na baba yangu hakutaka kunisikiliza. Mama alionekana amekata tamaa na ndugu zangu walikimbilia marafiki zao kila jioni ili wasikae nyumbani. Ilifika hatua nilihisi kama familia yetu ilivunjika. Nilipoona hali inazidi kuwa mbaya niliamua kutafuta suluhisho kwa siri.. .. SOMA ZAIDI