Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kumaliza Mkutano wake na Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudani Kusini. 
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan, Balozi Dkt. James Pitia Morgan (wa kwanza kulia), Waziri wa Masuala ya Ofisi ya Rais, Africano Mande Gedima (kushoto kwake) na Mwakilishi wa Umoja wa Afrika nchini Sudani Kusini, Abdiweli Ali Mohamed Gaas. Wengine katika picha ni timu ya wataalamu kutoka Tanzania na Umoja wa Afrika wanaomsaidia Dkt. Jakaya Kikwete katika jukumu hilo.
[6/21, 2:28 PM] Issa Michuzi: Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kikao na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Sudani Kusini.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika majadiliano na Mabalozi wa nchi za Afrika wanaowakilisha nchi zao Sudani Kusini. 
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza katika Jukwaa la Pili la Ushirikiano wa Umajumui wa Afrika lililoandaliwa na Serikali ya Sudani Kusini ili kujadili namna bora ya kutafuta suluhu la mgogoro nchini humo kupitia suluhisho la kiafrika.
