Hakuna maumivu makubwa kwa mzazi kama kuona mtoto wake akiwa karibu naye, lakini mioyo yenu ikiwa mbali sana. Hicho ndicho nilichokuwa napitia na mwanangu kwa miaka kadhaa. Tulikuwa tunaishi nyumba moja, tulionana kila siku, lakini hatukuwa tunazungumza kama baba na mwana.

Kila mmoja alikuwa akiendelea na maisha yake kana kwamba mwenzake hayupo. Kilichoanza kama kutokuelewana kidogo kilikua na kuwa ukimya mkubwa uliotutenganisha. Mwanzoni niliamini hali ile ingepita yenyewe. Nilidhani baada ya siku chache angerudi na kuzungumza nami kama zamani….. SOMA ZAIDI