Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilihisi maisha yangu yote yalikuwa yanaanguka mbele ya macho yangu. Nilikuwa nafanya kazi kwa bidii sana kwenye kampuni niliyokuwa nimeajiriwa.

Nilijituma, niliheshimu kazi yangu, na nilikuwa naamini uaminifu ndio ulikuwa unanifanya nisogee mbele. Ndiyo maana siku mambo yalipoanza kubadilika, sikuamini kabisa. Ghafla nilianza kusikia uvumi.

Mwanzoni nilipuuzia nikidhani ni maneno ya kawaida ya kazini. Lakini kadri siku zilivyopita, nilianza kugundua baadhi ya wafanyakazi walikuwa wakiniepuka. Wengine walikuwa wakinitazama tofauti kana kwamba kuna jambo baya nilikuwa nimefanya.. … SOMA ZAIDI