Meneja wa Chama kikuu cha ushirika wa mzao wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma Faraja Komba,akitoa taarifa ya mafunzo ya matumizi ya mizani ya kidijitali kwa mameneja na makarani wa vyama vya msingi vya ushirika(Amcos)wa wilaya ya Mbinga na Nyasa yaliyofanyika katika ukumbi wa Mbifacu Mbinga mjini,katikati Mrajisi msaidizi wa ushirika mkoani Ruvuma Venance Msafiri na kulia makamu mwenyekiti wa Mbifacu Erick Kinunda(Picha na Muhidin Amri).

Makamu mwenyekit wa Chama kikuu cha ushirika wa mazao wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma(Mbifacu) Erick Kinunda,akizungumza jana kabla ya kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo makarani na mameneja wa vyama vya msingi vya ushirika kutoka wilaya ya Mbinga na Nyasa kuhusu matumizi sahihi ya mizani za kidijitali kabla ya kuanza msimu wa ununuzi wa zao la kahawa kwa msimu 2026/2027,katikati Mrajisi msaidizi wa ushirika mkoa wa Ruvuma Venance Msafiri na kushoto meneja wa Mbifacu Faraja Komba(Picha na Muhidin Amri).

Picha no 214 na 218 Mwakilishi wa kampuni ya Climb up Ltd Ramadhan Mbezi kushoto,akitoa maelezo kwa mrajisi msaidizi wa ushirika mkoa wa Ruvuma Venance Msafiri katikati, kuhusu matumizi ya mizani za kidijitali zitakazotumika kwenye ununuzi wa zao la kahawa kwa msimu 2026/2027 kabla ya kufunga mafunzo ya matumizi ya mizani hizo kwa makarani na mameneja wa vyama vya msingi vya ushirika(Amcos)kutoka wilaya ya Nyasa na Mbinga,kulia meneja wa Chama kikuu cha ushirika wa mazao wilaya ya Mbinga(Mbifacu)Faraja Komba(Picha na Muhidin Amri).

Picha no 232 Mrajisi msaidizi wa ushirika mkoa wa Ruvuma Venace Msafiri aliyee kapelo,akimpa kishikwambi Meneja wa Chama kikuu cha ushirika wa mazao wilaya ya Mbinga(Mbifacu)mkoani Ruvuma Faraja Komba wa tatu kulia,ambacho kitatumika kupata taarifa za ununuzi wa zao la kahawa kwa msimu 2026/2027 kabla ya kufunga mafunzo ya matumizi ya mizani za kidijitali kwa mameneja na makarani wa vyama vya msingi vya ushirika wa wilaya ya Nyasa na Mbinga mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mbifacu Mbinga mjini,kulia Afisa ushirika Halmashauri ya wilaya Mbinga Nuhu Serenge na wa pili kushoto makamu mwenyekiti wa Mbifacu Erick Kinunda(Picha na Muhidin Amri)

Picha no 236 Mrajisi msaidizi wa vyama vya ushirika mkoa wa Ruvuma Venance Msafiri aliyevaa kapelo,akipokea moja ya mizani ya kidijitali kutoka kwa Meneja wa Chama kikuu cha ushirika wa mazao wilaya ya Mbinga(Mbifacu) Faraja Komba wa tatu kulia,ambazo zitatumika kununulia kahawa kwa msimu 2026/2027 kabla ya kufunga mafunzo ya matumizi ya mizani za kidijitali kwa mameneja na makarani wa vyama vya msingi vya ushirika wa wilaya ya Nyasa na Mbinga mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mbifacu Mbinga mjini,kulia Afisa ushirika Halmashauri ya wilaya Mbinga Nuhu Serenge na wa pili kushoto makamu mwenyekiti wa Mbifacu Erick Kinunda(Picha na Muhidin Amri)