Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilianza kuogopa hata kutoka nje ya nyumba yangu. Nilikuwa nimehamia eneo lile kwa matumaini ya kuanza maisha mapya kwa amani. Nilikuwa mtu wa kujituma, mwenye kupenda utulivu, na sikuwa na shida na mtu yeyote.

Polepole nilianza kuzoea mazingira mapya, nikajenga mahusiano ya kawaida na watu wa jirani, na maisha yalionekana kwenda sawa. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika. Mwanzoni ilikuwa ni maneno madogo madogo ambayo sikuyaelewa…. SOMA ZAIDI