Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ningerudi nyumbani na kukuta nyumba yangu ikiwa kimya kiasi kile. Kwa miaka mingi mimi na mke wangu tulikuwa tumepitia mengi pamoja.
Tulijenga familia yetu taratibu, tukabarikiwa watoto wazuri, na licha ya changamoto za kawaida za maisha, nilikuwa naamini bado tulikuwa tunapendana. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika.
Mwanzoni tulianza kuwa na misunderstandings ndogo ndogo ambazo nilidhani zingepita. Ugomvi wa mara kwa mara ukaanza kuingia ndani ya nyumba yetu….. SOMA ZAIDI
