Kwa miaka mingi nilikuwa na ndoto ya kwenda kufanya kazi nje ya nchi ili nibadilishe maisha yangu na kusaidia familia yangu. Kila nilipoona watu wakifanikiwa baada ya kupata nafasi za nje, nilijiambia siku moja na mimi ningefika huko. Lakini safari yangu haikuwa rahisi hata kidogo.
Mara ya kwanza nilipoomba nafasi ya kwenda nje ya nchi, nilikuwa na matumaini makubwa sana. Nilituma documents zote, nikafanya interview, na nikasubiri majibu kwa hamu kubwa. Lakini mwisho wake nilikataliwa.
Nilijipa moyo nikasema labda haikuwa nafasi yangu bado…. SOMA ZAIDIĀ
