Nilipoolewa, nilikuwa na matumaini makubwa kuwa ningekuwa na uhusiano mzuri na familia ya mume wangu hasa mama yake. Mwanzoni kila kitu kilionekana sawa. Tuliongea vizuri, tulicheka pamoja, na nilihisi nimepokelewa vizuri ndani ya familia. Lakini kadri muda ulivyopita, mambo yakaanza kubadilika polepole.
Kulianza kuwa na kutokuelewana kwa mambo madogo madogo. Wakati mwingine nilihisi kama kila nilichofanya hakikuwa sawa machoni pake. Nikipika, kulikuwa na kasoro. Nikifanya jambo nyumbani, kulikuwa na maoni ya kuniumiza. Mwanzoni nilijitahidi kuvumilia nikidhani ni hali ya kawaida……. SOMA ZAIDI
