WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12, 2026.Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo
RAIS RUTO AKUTANA NA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA
