Maisha yangu yalibadilika ghafla siku baba wa mtoto wangu alipoondoka. Kilichoniumiza zaidi si kuondoka kwake tu, bali namna alivyoamua kukata mawasiliano kabisa kana kwamba mimi na mtoto hatukuwa na maana tena kwake.

Mwanzoni niliamini angerudi baada ya hasira kupungua.

Nilimpigia simu mara nyingi, nikamtumia ujumbe, lakini hakujibu hata mmoja. Baadaye niligundua alikuwa amebadilisha hata baadhi ya mawasiliano yake ili nisimpate kirahisi. Miezi ilianza kupita. Majukumu yote ya mtoto yakabaki juu yangu. Nilikuwa nikijitahidi peke yangu huku nikiumia kimya kimya…. SOMA ZAIDI