Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Shina namba 1 CCM Chamwino akishiriki kikao cha kawaida kilichoitishwa na Balozi wa Shina hilo Bi. Paulina Mkasanga, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 8 Mei, 2026.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Shina namba 1 CCM Chamwino kwenye kikao cha kawaida kilichoitishwa na Balozi wa Shina hilo Bi. Paulina Mkasanga, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 8 Mei, 2026. Matukio mbalimbali katika picha wakati wa Kikao cha Shina namba 1 ambapo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 8 Mei, 2026.