Klabu ya PSG ya Ufaransa imetinga fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuingoa Bayern Munic kwa jumla ya mabao 6-5.

PSG itamenyana na Arsenal katika fainali ikayopigwa Mei 30, 2026 katika Uwanja wa Puskás Aréna, Budapest nchini Hungary.