Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Jijini Dar Es Salaam kwa siku mbili na kukamilika leo Jumatano tarehe 29 Aprili, 2026.

MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU JIJINI DAR ES SALAAM




