Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais, Zanzibar Bi. Shumbana Taufiq alipowatembelea na kuzungumza na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais waliopo Ofisi ndogo ya Zanzibar, Aprili 24, 2026.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais waliopo Ofisi ndogo ya Zanzibar, Aprili 24, 2026.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais waliopo Ofisi ndogo ya Zanzibar, Aprili 24, 2026.
DKT. MUYUNGI AWATEMBELEA WATUMISHIN OFISI YA MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR




