Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni kushoto) na Naibu wake Mhe. Reuben Kwagilwa wakifuatilia majadiliano kuhusu hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa fedha 2026/27, leo Aprili 21, 2026.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiwasili Bungeni akionesha akionesha mkoba wa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais 2026/27 alipowasili bungeni jijini Dodoma leo Aprili 21, 2026.




