Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, marehemu William Lukuvi katika Ibada ya kumuombea iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Machi 27, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa na viongozi wakuu walioshiriki katika Ibada ya kumuombea marehemu William Lukuvi aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Machi 27, 2026. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Doto Biteko, Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela, Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Philip Mpango, Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, Jaji Mkuu wa Mahaka ya Tanzania, George Masaju, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), John Mongella na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mwanaasha Khamis Juma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mwili wa marehemu William Lukuvi aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, ulipowasili kwenye viwanja vya Bunge kwa Ibada ya kumuombea, Machi 27, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wanafamilia, ndugu na jamaa wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, marehemu William Lukuvi wakishiriki ibada ya kumuombea kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Machi 27, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika ibada ya kumuombea aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, marehemu William Lukuvi katika Ibada ya kumuombea iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Machi 27, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

