Hali ya sintofahamu ilitanda katika kijiji kimoja mkoani Morogoro baada ya bwana harusi kudaiwa kutaka kutoroka dakika chache kabla ya kufunga ndoa. Tukio hilo lililovuruga maandalizi yote ya harusi limeacha familia zote mbili katika mshangao mkubwa huku sababu zikianza kujitokeza taratibu.
Siri Nzito Yafichuka Dakika za Mwisho
Mashuhuda wanasema bwana harusi alianza kuonyesha wasiwasi usio wa kawaida muda mfupi kabla ya ibada kuanza. Inadaiwa alipokea ujumbe wa siri uliodai kufichua kuwa mchumba wake alikuwa akitumia nguvu za ajabu kumfanya ampende na kukubali ndoa hiyo…….. SOMA ZAIDIĀ
