Naitwa Hadija, mkazi wa mkoa wa Tanga. Maisha yangu ya ndoa kwa miaka nane yalitawaliwa na simanzi na vilio vya kila usiku. Mume wangu, ambaye nilimpenda kwa dhati, alianza kunibadilikia na kuniambia kuwa kama sitabeba ujauzito ndani ya mwaka huo, basi nifunge virago niondoke kwani hawezi kuishi na “mwanamke asiyezaa”. Kauli hiyo iliniua kisaikolojia, nikaanza kukonda na kupoteza nuru ya uso wangu…. SOMA ZAIDI