Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akijumuika na Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Ruvuma wakiwemo, watu wenye mahitaji maalum, Viongozi wa Serikali,Vyama na Taasisi za Dini, katika Iftar aliyowaandalia, iliyofanyika Songea mkoani Ruvuma, leo tarehe 14 Machi 2026.

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI IFTARI NA WANANCHI WA MKOA WA RUVUMA
