Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan afuturisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba, tarehe 13 Machi, 2026.

RAIS SAMIA AWAANDALIA IFTAR VIONGOZI NA MAKUNDI MBALIMBALI PEMBA
