Jina langu ni Rashid. Mimi ni mfanyabiashara mdogo katika mji wa Tanga ambapo nina duka la vyakula na bidhaa za matumizi ya nyumbani. Biashara yangu haikuwa kubwa sana lakini ilikuwa inanisaidia sana kuendesha maisha yangu na familia yangu.

Kwa muda mrefu kila kitu kilikuwa kinaenda vizuri.

Lakini siku moja nilianza kugundua jambo ambalo lilianza kunitia wasiwasi sana…… SOMA SAID