Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Ruvuma Happy Ngwando anayepunga mkono,akicheza muziki na baadhi ya wanawake wa Wilaya ya Mbinga jana wakati wa sherehe za siku ya Wanawake Dunia ambayo katika Wolaya ya Mbinga imefanyika katika ukumbi wa One Pasific.

Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Ruvuma Happy Ngwando,akikata keki wakati wa sherehe ya siku ya Wanawake Duniani ambayo katika Wilaya ya Mbinga imefanyika katika ukumbi maarufu wa One Pasific.
……..
MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA RUVUMA HAPPY NGWANDO AWATAKA WANAWAKE KUREJESHA MIKOPO KWA WAKATI, no 673 Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma Pendo Daniel Ndumbaro kushoto,akipokea cheti kutoka kwa Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Ruvuma Happy Ngwando kutokana na wanawake wa wilaya hiyo kutambua mchango wake katika suala zima la maendeleo kwa wanawake na jamii kwa ujumla.