Kiungo wa Klabu ya Simba Clautous Chama ameomba radhi kwa tukio la kumkanya kwa makusudi mchezaji wa klabu ya Yanga Feisal Salum “FeiToto” katika mechi ya watani wa Jadi iliyochezwa jana ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa goli 1:0.
“Bro Feisal najua tumeongea leo lakini naomba nikuombe radhi tena mbele ya mashabiki wa mpira.
Mpira ni burudani na sio uadui. Forgive me bro!”. Ameandika Chama kwenye Ukarasa wake wa mtandao wa kijamii.