Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiagana na wananchi baada ya kutembelea Kituo cha kuratibu ufuatiliaji na uokozi cha kıkanda na meli ya Ambulance kilichopo wilaya ya Ilemela jijini Mwanza na kuzungumza na mwananchi , Januaro 23, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi baada ya kutembelea Kituo cha kuratibu ufuatiliaji na uokozi cha kıkanda na meli ya Ambulance kilichopo wilaya ya Ilemela jijini Mwanza na kuzungumza na mwananchi , Januaro 23, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alipozungumza baada ya kutembelea Kituo cha kuratibu ufuatiliaji na uokozi cha kıkanda pamoja na meli ya Ambulance wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, Januari 23, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt, Mwigulu Nchemba akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda alipotoa maelezo mafupi wakati Waziri Mkuu kutembelea Kituo cha kuratibu ufuatiliaji na uokozi cha kıkanda pamoja na meli ya Ambulance wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, Januari 23, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Meli ya Ambulance ambayo Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba aliishuhudia wakati kutembelea Kituo cha kuratibu ufuatiliaji na uokozi cha kıkanda kilichopo wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, Januari 23, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipata maelezo kutoka Nahodha Nkwila Nkwame alipotembelea Kituo cha kuratibu ufuatiliaji na uokozi cha kıkanda na meli ya Ambulance kilichopo wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, Januari 23, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Muonekano wa Jengo la Kituo cha kuratibu ufuatiliaji na uokozi cha kıkanda kilichopo wilaya ya Ilemela jijini Mwanza ambacho Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alikitembelea , Januari 23, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
