
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akipewa maelezo na Afisa Rasilimali watu wa Kiwanda cha Magodoro cha Banco Lucas Sanya kilichopo mkoani Mwanza ambacho kilichoharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya ukaguzi huo Desemba 05, 2025 alipofanya ziara mkoani humo.
Muonekano wa Kiwanda cha Magodoro cha Banco kilichopo mkoani Mwanza ambacho kilichoharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya ziara Desemba 05, 2025 ya kuangalia madhara yaliyotokana na vurugu hizo.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wakazi wa mkoa wa Mwanza katika uwanja wa Nyamagana Desemba 05, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya ziara ya kukagua miundombinu ya umma pamoja na mali za watu binafsi zilizoharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025.
Baadhi ya Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alipozungumza na wakazi wa mkoa wa Mwanza katika uwanja wa Nyamagana Desemba 05, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu 



