Bw. Bernrad Dadi Mkurugenzi wa Mfumo wa Malipo wa Taifa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) akitoa mada kuhusu Kanzidata ya Kudumu ya Watoa Huduma wa Kifedha Financial Services Register (FSR) katika semina semina ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali inayoendelea kwenye tawi la BoT jijini Arusha leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mada wakati Bw. Bernrad Dadi Mkurugenzi Mfumo wa Malipo wa Taifa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) akitoa mada kuhusu mfumo wa Kanzidata ya Kudumu ya Watoa Huduma wa Kifedha Financial Services Register leo.
Vick Msima Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki akimkaribisha Bw. Bernrad Dadi Mkurugenzi wa Mfumo wa Malipo wa Taifa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili kutoa mada kwa waandishi wa habari kuhusu Kanzidata ya Kudumu ya Watoa Huduma wa Kifedha.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mjadala katika semina hiyo.
Edina Bondo kutoka gazeti la Jamvi la habari na Goodluck Msola kutoka Kituo cha Luninga cha ETV wakisikiliza mada hiyo iipokuwa ikiwasilishwa.
Bw. Bernrad Dadi Mkurugenzi wa Mfumo wa Malipo wa Taifa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) akipokea baadhi ya maswali kutoka kwa wanahabari katika semina hiyo.