Muonekano mradi wa Kituo cha ukaguzi cha Pamoja cha magari kilichopo Muhalala mkoani Singida, ambacho Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alikagua nakuagiza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi huo, Mhalala Mkoani Singida Novemba 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)






