Katibu Mkuu wa Chama cha Mapimduzi CCM Dkt. Asharose Migiro na viongozi mbalimbali wakiwasili kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan atahutubia wananchi na kufunga rasmi pazia la kampeni za CCM tayari kwa uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika kesho Oktoba 29, 2025.

KATIBU MKUU WA CCM NA VIONGOZI MBALIMBALI WAKIWASILI UWANJA WA CCM KIRUMBA



