Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa jukwaani pamoja na viongozi wengine alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho wa Rais mteule wa Shelisheli, Dr. Patrick Herminie (wa kwanza kushoto), uliofanyika katika Uwanja wa michezo wa Umoja, jijini Victoria Sychelles, Oktoba 26. 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais mteule wa Shelisheli, Dr. Patrick Herminie, akila kiapo cha urais wa awamu ya sita wa nchi hiyo mbele ya Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Rony Govinden, kwenye Uwanja wa michezo wa Umoja, jijini Victoria, Sychelles, Oktoba 26. 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Shelisheli, Dr. Patrick Herminie, akilihutubia Taifa mara baada ya kuapishwa kua Rais wa sita wa nchi hiyo, kwenye Uwanja wa michezo wa Umoja, jijini Victoria, Sychelles, Oktoba 26. 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



