Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, ulioongozwa na Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Uganda, Dkt. Speciosa Wandira Kazibwe, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 26 Oktoba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Uganda, Dkt. Speciosa Wandira Kazibwe mara baada ya mazungumzo, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 26 Oktoba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, ulioongozwa na Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Uganda, Dkt. Speciosa Wandira Kazibwe Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 26 Oktoba, 2025.



