Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, kwenye mkutano wa makundi mbalimbali ya kijamii, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza, kwenye mkutano wa makundi mbalimbali ya kijamii, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Makundi mbalimbali ya kijamii yakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati alipohutubia makundi hayo, kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)