Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipotoa tamko katika Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Kupunguza Madhara ya Maafa kwenye ukumbi wa City Park Garden jijini Mbeya, Oktoba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete wakati alipokagua Maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Baba wa Taifa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Oktoba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza alipokagua Maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Baba wa Taifa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Oktoba 13, 2025. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya viongozi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kukagua Maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Baba wa Taifa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Oktoba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe na baadae alikagua Maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Baba wa Taifa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Oktoba 13, 2025. Pia alitoa tamko katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Kupunguza Madhara ya Maafa kwenye ukumbi wa City Park Garden jijini Mbeya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Benno Malisa alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Songwe na baadae alikagua Maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Baba wa Taifa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Oktoba 13, 2025. Pia alitoa tamko katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Madhara ya Maafa kwenye ukumbi wa City Park Garden jijini Mbeya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)