*PICHA*: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipozungumza na Umati wa Wananchi wa Nyawilimilwa Mkoani Geita waliofurika katika Mkutano wa Kampeni Za uchaguzi Mkuu leo October 13,2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea Ubunge Jimbo la Geita Ndugu Joseph Kasheku Musukuma
mara baada ya kuhutubia wananchi wa Nyawilimilwa mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2025.