PICHA mbalimbali za Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Muhambwe,wilaya ya Kibondo leo Oktoba 12, 2025 mkoani Kigoma.
DKT. NCHIMBI AOMBA KURA JIMBO LA MUHAMBWE KIGOMA
