Mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa kwenye mkutano wake wa kampeni alioupa jina la ‘Mkutano wa heshima ya mji’ uliofanyika katika Uwanja wa Mwanga Center jimboni hapo, mkoa wa Kigoma, Oktoba 12, 2025. Katika mkutano Zitto alisindikizwa na viongozi wandamizi wa chama Taifa na wagombea wengine wa ubunge na udiwani ndani na nje ya mkoa wa Kigoma.
ZITO KABWE AFANYA MKUTANO MKUBWA MWANGA KIGOMA
