Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Lamadi, Busega mkoani Simiyu wakati akielekea Bunda katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, tarehe 09 Oktoba, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Lamadi, Busega mkoani Simiyu waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 09 Oktoba, 2025.