Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimuombea kura mgombea wa jimbo la Kakonko wa chama hicho, Olaf Kaboboye wakati wa kampeni yake iliyofanyika katika kijiji cha Marenga kata ya Lugenge mkoani Kigoma,Oktoba 06, 2025.
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza na wakazi wa kijiji cha Marenga kata ya Lugenge aliposimama kijijini hapo kumuombea kura mgombea wa jimbo la Kakonko wa chama hicho, Olaf Kaboboye mkoani Kigoma,Oktoba 06, 2025.