Ndani ya mwezi huu wa Oktoba tukio kubwa zaidi na la kihistoria ndani ya Taifa letu na hata Dunia kwa ujumla ni 𝙯𝙤𝙚𝙯𝙞 𝙡𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙞𝙜𝙖 𝙠𝙪𝙧𝙖 kwakuwa ndio muafaka wa kumchagua kiongozi umtakaye kulingana na namna ambavyo umeridhishwa naye kwa sera na ahadi kupitia chama husika cha siasa alichopo.
Na wajanja wote lazima wawe na 𝙠𝙞𝙩𝙖𝙢𝙗𝙪𝙡𝙞𝙨𝙝𝙤 𝙘𝙝𝙖 𝙢𝙥𝙞𝙜𝙖 𝙠𝙪𝙧𝙖 kwakuwa ndicho pekee chenye kukuwezesha kushiriki zoezi hilo ambalo ni haki yako kikatiba.
Kubwa zaidi ni kwamba Chama pekee chenye kuleta 𝙢𝙖𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙤 𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙫𝙪 na kujali, kuthamini na kuinua 𝙐𝙩𝙪 𝙬𝙖 𝙈𝙩𝙖𝙣𝙯𝙖𝙣𝙞𝙖 ni 𝘾𝙝𝙖𝙢𝙖 𝘾𝙝𝙖 𝙈𝙖𝙥𝙞𝙣𝙙𝙪𝙯i