Wananchi wa Buhongwa wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wakiwa na shamrashamra kubwa tayari kwa kumpokea na kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuwahutubia na kuwaomba kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika oktoba 29, 2025 nchi nzima huku akinadi ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025/ 2030 na kueleza Mambo makubwa yaliyofayika katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake.
SHAMRASHAMRA ZA WANANCHI BUHONGWA MWANZA WAKIMSUBIRI DKT. SAMIA
