Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mapema Leo Tarehe 06/10/2025 Amewasili Mkoani Mwanza kwa ajili ya Mapokezi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika 29/10/ 2025
Dkt Samia atapokelewa Mwanza 07/10/2025 ambapo atazungumza na Wananchi wa Kata Buhongwa akielekea Wilaya ya Misungwi na Badae ataelekea Wilaya ya Sengerema na 08/10/2025 atakuwa na Mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.
“KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE”