Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Alhamisi Oktoba 2,2025 amewasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara kwa ajili ya kuanza ziara ya mikutano yake ya hadhara ya kampeni, kusaka kura za ushindi wa kishindo za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan,Wabunge na Madiwani mkoani Mtwara baada ya kuhitimisha mkoa wa Dar es Salaam
DKT.NCHIMBI AWASILI MTWARA KUENDELEA KUSAKA KURA ZA USHINDI WA KISHINDO ZA DKT SAMIA
