Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Same katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Kilimanjaro tarehe 30 Septemba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wagombea Ubunge wa Majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Same tarehe 30 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Same mkoani Kilimanjaro tarehe 30 Septemba, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Same waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kilimanjaro tarehe 30 Septemba, 2025.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipozungumza na Umati wa Wananchi wa Same Mkoani Kilimanjaro wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Septemba 30,2025.