PICHA:Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipozungumza na Umati wa Wananchi wa Mombo, Jimbo la Korogwe Vijijini Mkoani Tanga wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Septemba 30,2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi wagombea
Ubunge wa baadhi ya Majimbo ya Mkoa wa Tanga mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mombo mkoani Tanga tarehe 30 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Mombo mkoani Tanga tarehe 30 Septemba, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Mombo mkoani Tanga waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 30 Septemba, 2025.