Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Korogwe katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Tanga tarehe 30 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Korogwe mkoani Tanga tarehe 30 Septemba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidi ilani ya uchaguzi kwa wagonbea ubunge wa mkoa wa Tanga alipozungumza na wananchi wa Korogwe katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Tanga tarehe 30 Septemba, 2025.