Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwasili Kenya Uwanja wa Saba Saba mjini Kibaha mkoani Pwani ili kunadi sera na ahadi za CCM pamoja na kuomba kura za “Ndiyo” kwa mafiga yote matatu (Rais, Wabunge na Madiwani) leo, Septemba 28, 2025. katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
DKT. AWASILI UWANJA WA SABASABA KIBAHA MKOANI PWANI
